1 Chronicles 25:31

31
In this translation, this verse contains text which in some other translations appears in verses 1Nya 25:8-1Nya 25:31.
bVijana kwa wazee, walimu kwa wanafunzi, wote walipanga kazi zao kwa kupiga kura.

cv cKura ya kwanza, ambayo ilikuwa kwa ajili ya Asafu, ilimwangukia Yusufu, wanawe na jamaa zake, 12
Ya pili ikamwangukia Gedalia, yeye na wanawe pamoja na jamaa zake, 12
cv Ya tatu ikamwangukia Zakuri, wanawe na jamaa zake, 12
cv ya nne ikamwangukia Isri,
Isri jina lingine ni Seri.
wanawe na jamaa zake,
12
cv ya tano ikamwangukia Nethania, wanawe na jamaa zake, 12
cv ya sita ikamwangukia Bukia, wanawe na jamaa zake, 12
cv ya saba ikamwangukia Yesarela,
Yesarela jina lingine ni Asarela.
wanawe na jamaa zake,
12
cv ya nane ikamwangukia Yeshaya, wanawe na jamaa zake, 12
cv ya tisa ikamwangukia Matania, wanawe na jamaa zake, 12
cv ya kumi ikamwangukia Shimei, wanawe na jamaa zake, 12
cv ya kumi na moja ikamwangukia Azareli,
Azareli jina lingine ni Uzieli.
wanawe na jamaa zake,
12
cv ya kumi na mbili ikamwangukia Hashabia, wanawe na jamaa zake, 12
cv ya kumi na tatu ikamwangukia Shubaeli, wanawe na jamaa zake, 12
cv ya kumi na nne ikamwangukia Matithia, wanawe na jamaa zake, 12
cv ya kumi na tano ikamwangukia Yeremothi, wanawe na jamaa zake, 12
cv Ya kumi na sita ikamwangukia Hanania, wanawe na jamaa zake, 12
cv ya kumi na saba ikamwangukia Yoshbekasha, wanawe na jamaa zake, 12
cv ya kumi na nane ikamwangukia Hanani, wanawe na jamaa zake, 12
cv ya kumi na tisa ikamwangukia Malothi, wanawe na jamaa zake, 12
cv ya ishirini ikamwangukia Eliatha, wanawe na jamaa zake, 12
cv ya ishirini na moja ikamwangukia Hothiri, wanawe na jamaa zake, 12
cv ya ishirini na mbili ikamwangukia Gidalti, wanawe na jamaa zake, 12
cv ya ishirini na tatu ikamwangukia Mahaziothi, wanawe na jamaa zake, 12
cv gya ishirini na nne ikamwangukia Romamti-Ezeri, wanawe na jamaa zake, 12.

Copyright information for SwhKC